#NewVideo: Y.O.G – Mtaa

Baada ya kuanza vizuri kabisa na audio yake ya kwanza, huyu hapa tena Y.O.G na ngoma yake mpya, kijana kutoka Grandmaster Records huu ukiwa wimbo mahususi kabisa kuhusu mtaa anaotoka na maisha aliyopitia kufikia alipo ikiwa ni njia ya kutoa hamasa kwa vijana wenzanake kufanya maamuzi na machaguzi sahihi kwaajili ya maisha na kesho yao….

Read More

Kizz Daniel Kuidondosha “MAVERICK”

Kufuatia mafanikio makubwa ya nyimbo zake kama BUGA, COUGH, RTID & SHUPERU, Kizz Daniel ametangaza jina la albamu mpya “MAVERICK”. Mkali wa Afrobeats, Kizz Daniel, anatazamiwa kuwapeleka mashabiki wake katika safari ya kufurahisha na albamu yake inayokuja, “Maverick.” Msanii huyo anayetambulika kimataifa, Mr. Vado The Great, amekuwa akivuka mipaka ya ubunifu katika muziki wake, na…

Read More
MESSI

Messi kama sio Genius tu, Basi ni Jini

Kama wewe ni mmoja wa waliokuwa wanaamini Messi ndo basi tena zinanywea nyuma, Basi fikiria tena hizo fikra zako. Pamoja na kwamba ameenda Marekani kuiiinua Ligi kuu ya Mpira wa Miguu kwa Dau kubwa ambalo wengi waliamini kule ndipo Soccer lake linaenda kuzama jua, Messi ameendelea kufanya maajabu kama kawaida yake. Ukiacha magoli anayoyapiga na…

Read More

Travis Scott Kuidondosha “Utopia”

Albamu ya “Utopia” iliyosubiriwa kwa muda mrefu ya Travis Scott inaonekana kuwasili hivi karibuni huku tukio la uzinduzi wa albamu ya Utopia likitarajiwa kufanyika Cairo, Misri, kwenye Pyramids of Giza. Utopia itakuwa na kazi 5 binafsi za sanaa, vinyls, CD na maagizo ya mapema[set pre-orders]. Zaidi ya hayo, Travis pia ataperform  albamu yake pia. View…

Read More
UP