Moto wa Messi, Ageuka Lulu Marekani

Mwanasoka Nguli na kiboko kabisa kutoka Nchini Argentina, Lionel Messi amegeuka Lulu Nchini Marekani. Ukiachana na Kibunda ndefu aliyovuta kutoka kwenye Club yake Mpya Inter-Miami, Messi amegeuka Kivutio kikubwa sana kwenye soccer la Marekani ambapo Club hiyo imeongeza Idadi Kubwa sana ya Mashabiki Haswa Mastaa Wakubwa wa Marekani kiasi kwamba Tunashuhudia Mastaa wengi wakihudhuria mechi…

Read More

Kizz Daniel Kuidondosha “MAVERICK”

Kufuatia mafanikio makubwa ya nyimbo zake kama BUGA, COUGH, RTID & SHUPERU, Kizz Daniel ametangaza jina la albamu mpya “MAVERICK”. Mkali wa Afrobeats, Kizz Daniel, anatazamiwa kuwapeleka mashabiki wake katika safari ya kufurahisha na albamu yake inayokuja, “Maverick.” Msanii huyo anayetambulika kimataifa, Mr. Vado The Great, amekuwa akivuka mipaka ya ubunifu katika muziki wake, na…

Read More

Kim Kardashian atokewa na Mzimu

Mwanamitindo, X na babe mama wa Kanye West, Kim Kardashian ameshtushwa na Kivuli kinachomuonesha Mwanamke mwingine kwenye picha ambayo Kaipiga kama Selfie akiwa mwenyewe. Kwenye Picha hii ambayo ameipost kwenye Instagram Kim anasema ameshangaa baada ya kuiangalia picha aliyoichukua mwenyewe “Selfie” akiwa mwenyewe kuonekana kivuli cha mwanamke anayehisi ni Mzimu kwani wakati anajipiga picha hiyo…

Read More

Tanasha arudi alipoanzia

Kama ni mtu unayefuatilia, Industry ya Burudani ilianza kumjua Staa wa Kenya Tanasha Donna kupitia Uigizaji wa kwenye Video za Muziki (Video Vixen) Video ya kwanza ambayo Alionekana ilikuwa Nagharamia, Wimbo wa Ali Kiba na Christian Bella iliyotoka Miaka 7 Iliyopita. Baadae akawa Mtangazaji wa Kituo cha Radio ya NRG Nchini Kenya ambapo huko ndiko…

Read More

Travis Scott Kuidondosha “Utopia”

Albamu ya “Utopia” iliyosubiriwa kwa muda mrefu ya Travis Scott inaonekana kuwasili hivi karibuni huku tukio la uzinduzi wa albamu ya Utopia likitarajiwa kufanyika Cairo, Misri, kwenye Pyramids of Giza. Utopia itakuwa na kazi 5 binafsi za sanaa, vinyls, CD na maagizo ya mapema[set pre-orders]. Zaidi ya hayo, Travis pia ataperform  albamu yake pia. View…

Read More
UP