Bruce Africa – Jojina (Official Music Video)

Baada ya kufanya poa na Ngoma yake iliyokuwa Hit ya Africa inayokwenda kwa Jina la YOU ambayo Video yake kwa sasa ina Views almost 4M, ngoma iliyofuatiwa na mkwaju mwingine uitwao MY LOVE, Staa wa Muziki kutoka Arusha, BRUCE AFRICA a.k.a Boyfriend ameachia Hit nyingine kwa jina JOJINA Kwenye Jojina, Bruce anaelezea namna ambavyo amedata…

Read More

Kizz Daniel Kuidondosha “MAVERICK”

Kufuatia mafanikio makubwa ya nyimbo zake kama BUGA, COUGH, RTID & SHUPERU, Kizz Daniel ametangaza jina la albamu mpya “MAVERICK”. Mkali wa Afrobeats, Kizz Daniel, anatazamiwa kuwapeleka mashabiki wake katika safari ya kufurahisha na albamu yake inayokuja, “Maverick.” Msanii huyo anayetambulika kimataifa, Mr. Vado The Great, amekuwa akivuka mipaka ya ubunifu katika muziki wake, na…

Read More
UP