#NewVideo: Y.O.G – Mtaa

Baada ya kuanza vizuri kabisa na audio yake ya kwanza, huyu hapa tena Y.O.G na ngoma yake mpya, kijana kutoka Grandmaster Records huu ukiwa wimbo mahususi kabisa kuhusu mtaa anaotoka na maisha aliyopitia kufikia alipo ikiwa ni njia ya kutoa hamasa kwa vijana wenzanake kufanya maamuzi na machaguzi sahihi kwaajili ya maisha na kesho yao.

Tunaendelea kutanguliza shukrani zetu kwa kuendelea kuweka mkono wako kwenye kazi zetu na vipaji vyote tulivyovishika mkono na tunavyovishika mkono, ahsante sana.

Song Credits

1.Song – Mtaa

2.Artist – Y.O.G

3.Producer – Kass

4.Studio – Grandmaster Records

Tayari audio inapatikana kwenye platform mbalimbali duniani pamoja na social media kama instagram, facebook na tiktok

UP