
Kim Kardashian atokewa na Mzimu
Mwanamitindo, X na babe mama wa Kanye West, Kim Kardashian ameshtushwa na Kivuli kinachomuonesha Mwanamke…
Baada ya kufanya poa na goma lake CHUGGA IYO aliyokuwa amemshirikisha Chui RAYVANNY, FIDOVATO ameachia Dude lingine liitwalo NEMBO akiwa amemshirikisha Mbuzi YOUNG LUNYA. Project produced by @defxtro inadi-Noizmekah
Kama wewe ni mmoja wa waliokuwa wanaamini Messi ndo basi tena zinanywea nyuma, Basi fikiria tena hizo fikra zako. Pamoja na kwamba ameenda Marekani kuiiinua Ligi kuu ya Mpira wa Miguu kwa Dau kubwa ambalo wengi waliamini kule ndipo Soccer lake linaenda kuzama jua, Messi ameendelea kufanya maajabu kama kawaida yake. Ukiacha magoli anayoyapiga na…
Baada ya kufanya poa na Ngoma yake iliyokuwa Hit ya Africa inayokwenda kwa Jina la YOU ambayo Video yake kwa sasa ina Views almost 4M, ngoma iliyofuatiwa na mkwaju mwingine uitwao MY LOVE, Staa wa Muziki kutoka Arusha, BRUCE AFRICA a.k.a Boyfriend ameachia Hit nyingine kwa jina JOJINA Kwenye Jojina, Bruce anaelezea namna ambavyo amedata…
Umem-miss Usher Raymond mnyama Kabisa? Sasa nikusanue kwamba Aemerejea kwenye Ubora wake kabisa, Kiwango cha level ya Lami. Humu ndani Usher amefanya unyama mwingi sana kwenye ngoma hii mpya aliyoipa jina la Boyfriend ambapo the Video tayari imetoka na ni Bonge moja la Chupa Staring akiwa ni KEKE PALMER. JIACHIE HAPA CHINI :-
Kutokana na Sakata linaloendelea Kumuhusu Staa wa Muziki Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido baada ya Video ya video ya Msanii wake kutafsiriwa kama Kuidhalilisha Dini ya Kiislam, Staa huyo ameaswa kuikimbia Nigeria yeye na Msanii wake kwani maisha yake yako Hatarini kutokana na Hasira za Waislam Nigeria. Balaa hilo limemuandama Davido baada ya kupost…
The Hit Man, Toto Bad Omari Ally Mwanga maarufu kama Marioo amesema Yuko Tayari Kumpa Switcher Baba, Quick Rocker bunda kiasi cha TShs. Millioni 3. Akiwa Gym amekutana na QR na kwa tambo kuhusu wimbo wake ambao amepanga kuutoa Alhamis hii, Marioo amemuahidi Quick Rocker kwamba wimbo wake huo Mpya usipokuwa Hit basi atampa Jamaa…
Mwanasoka Nguli na kiboko kabisa kutoka Nchini Argentina, Lionel Messi amegeuka Lulu Nchini Marekani. Ukiachana na Kibunda ndefu aliyovuta kutoka kwenye Club yake Mpya Inter-Miami, Messi amegeuka Kivutio kikubwa sana kwenye soccer la Marekani ambapo Club hiyo imeongeza Idadi Kubwa sana ya Mashabiki Haswa Mastaa Wakubwa wa Marekani kiasi kwamba Tunashuhudia Mastaa wengi wakihudhuria mechi…
Kufuatia mafanikio makubwa ya nyimbo zake kama BUGA, COUGH, RTID & SHUPERU, Kizz Daniel ametangaza jina la albamu mpya “MAVERICK”. Mkali wa Afrobeats, Kizz Daniel, anatazamiwa kuwapeleka mashabiki wake katika safari ya kufurahisha na albamu yake inayokuja, “Maverick.” Msanii huyo anayetambulika kimataifa, Mr. Vado The Great, amekuwa akivuka mipaka ya ubunifu katika muziki wake, na…
Tamasha la kila mwaka la Africa Music Now linaloandaliwa na Msanii Mkongwe wa Hip-Hop Kutoka Arusha, Chindo Man, linafanyika tena mwaka huu. Tamasha hilo lenye Dhamira Kuu ya kuonyesha na Kukuza Vipaji Jijini Arusha na Tanzania kiujumla linafanyika Jumamosi hii Tarehe 29/7/2023 katika Kiwanja maarufu Arusha, Billy’s River. Pamoja na Chindo Man Mwenyewe, Wasanii wengine…
Unyama wa Staa wa Nigeria Asake kwenye Live Session na Vevo CTRL. Hapa amechapa Magoma yake Mawili ya Moto kabisa, Amapiano na Lonely CHUNGULIA UFUNDI WA HUYU MWAMBA ANAYEISUMBUA AFRICA