“Tattoo za Madem zetu Tunazo” – Machalii Watundu

Machalii Watundu wakiwa na DjHazuu

OOOOOI, Ulishawahi kuchora Tattoo kwa ajili ya Mtu?

Kama Ndio ikitokea Mmeachana unafanyaje?

Chukua hii kutoka kwa Machalii Watundu ambao wana Majina ya Ma-X wao na hawana mpango wa kuyafuta kabisa.

UKIMALIZA KUTAZAMA NA KUCHEKA, DONDOSHA COMMENT YAKO, LIKE NA SHARE