Young Killer Kajibu Diss ya Young Lunya

Kwenye Freestyle Session 5 ya Rapper Young Lunya, Kuna Lines za Mwisho kwenye Wimbo ambazo Kamchana Young Killer.

Baada ya Young Killer Kusikia Alivyochanwa, kaingia Studio na Kaachia Ngoma ya Kumchana Young Lunya.

Hakuna Mchezo unaofurahisha mashabiki wa Muziki wa Hip-Hop kama huu na kuthibitisha kwamba Hip-Hop inapendwa Bongo Kuanzia jana jioni Huu Mchezo wa Ma-Young, Lunya na Killer ndio unaoongelewa na Kutrend zaidi Bongo

FUATILIA LINE TO LINE HAPA CHINI KISHA ACHA COMMENT
UP