#NewVideo: Y.O.G – Mtaa

Baada ya kuanza vizuri kabisa na audio yake ya kwanza, huyu hapa tena Y.O.G na ngoma yake mpya, kijana kutoka Grandmaster Records huu ukiwa wimbo mahususi kabisa kuhusu mtaa anaotoka na maisha aliyopitia kufikia alipo ikiwa ni njia ya kutoa hamasa kwa vijana wenzanake kufanya maamuzi na machaguzi sahihi kwaajili ya maisha na kesho yao….

Read More

Young Killer Kajibu Diss ya Young Lunya

Kwenye Freestyle Session 5 ya Rapper Young Lunya, Kuna Lines za Mwisho kwenye Wimbo ambazo Kamchana Young Killer. Baada ya Young Killer Kusikia Alivyochanwa, kaingia Studio na Kaachia Ngoma ya Kumchana Young Lunya. Hakuna Mchezo unaofurahisha mashabiki wa Muziki wa Hip-Hop kama huu na kuthibitisha kwamba Hip-Hop inapendwa Bongo Kuanzia jana jioni Huu Mchezo wa…

Read More

Tanasha arudi alipoanzia

Kama ni mtu unayefuatilia, Industry ya Burudani ilianza kumjua Staa wa Kenya Tanasha Donna kupitia Uigizaji wa kwenye Video za Muziki (Video Vixen) Video ya kwanza ambayo Alionekana ilikuwa Nagharamia, Wimbo wa Ali Kiba na Christian Bella iliyotoka Miaka 7 Iliyopita. Baadae akawa Mtangazaji wa Kituo cha Radio ya NRG Nchini Kenya ambapo huko ndiko…

Read More
UP