Young Killer Kajibu Diss ya Young Lunya

Kwenye Freestyle Session 5 ya Rapper Young Lunya, Kuna Lines za Mwisho kwenye Wimbo ambazo Kamchana Young Killer. Baada ya Young Killer Kusikia Alivyochanwa, kaingia Studio na Kaachia Ngoma ya Kumchana Young Lunya. Hakuna Mchezo unaofurahisha mashabiki wa Muziki wa Hip-Hop kama huu na kuthibitisha kwamba Hip-Hop inapendwa Bongo Kuanzia jana jioni Huu Mchezo wa…

Read More

Man U waweka Dau kwa Club inayomtaka Maguire

Manchester United wameweka thamani inayotakiwa ya £50m kwa klabu inayotaka kumnunua beki wa England Harry Maguire, 30. (Manchester Evening News) West Ham wanatumai kumnunua kiungo wa kati wa England James Ward-Prowse, 28, kwa ada ya £20m lakini Southampton wanataka karibu £40m kwa ajili ya nahodha wao huyo (Mail) Wolves wanakaribia kumsajili tena beki wa pembeni…

Read More

#NewVideo: Y.O.G – Mtaa

Baada ya kuanza vizuri kabisa na audio yake ya kwanza, huyu hapa tena Y.O.G na ngoma yake mpya, kijana kutoka Grandmaster Records huu ukiwa wimbo mahususi kabisa kuhusu mtaa anaotoka na maisha aliyopitia kufikia alipo ikiwa ni njia ya kutoa hamasa kwa vijana wenzanake kufanya maamuzi na machaguzi sahihi kwaajili ya maisha na kesho yao….

Read More