“Tattoo za Madem zetu Tunazo” – Machalii Watundu
OOOOOI, Ulishawahi kuchora Tattoo kwa ajili ya Mtu? Kama Ndio ikitokea Mmeachana unafanyaje? Chukua hii kutoka kwa Machalii Watundu ambao wana Majina ya Ma-X wao na hawana mpango wa kuyafuta kabisa. UKIMALIZA KUTAZAMA NA KUCHEKA, DONDOSHA COMMENT YAKO, LIKE NA SHARE
Markuba Majanaba atolewa Magereza, Anyolewa Rasta
Haya ni ya Msingi aliyoyaongea Mchekeshaji Markuba Majanaba baada ya kutolewa Magereza ambapo aliswekwa ndani baada ya kumtoa mtu Ngeu. FUATILIA HAPA CHINI KISHA TUPE COMMENT YAKO
Fidovato ft Young Lunya-Nembo (NOIZ)
Baada ya kufanya poa na goma lake CHUGGA IYO aliyokuwa amemshirikisha Chui RAYVANNY, FIDOVATO ameachia Dude lingine liitwalo NEMBO akiwa amemshirikisha Mbuzi YOUNG LUNYA. Project produced by @defxtro inadi-Noizmekah
Messi kama sio Genius tu, Basi ni Jini
Kama wewe ni mmoja wa waliokuwa wanaamini Messi ndo basi tena zinanywea nyuma, Basi fikiria tena hizo fikra zako. Pamoja na kwamba ameenda Marekani kuiiinua Ligi kuu ya Mpira wa Miguu kwa Dau kubwa ambalo wengi waliamini kule ndipo Soccer lake linaenda kuzama jua, Messi ameendelea kufanya maajabu kama kawaida yake. Ukiacha magoli anayoyapiga na…
Bruce Africa – Jojina (Official Music Video)
Baada ya kufanya poa na Ngoma yake iliyokuwa Hit ya Africa inayokwenda kwa Jina la YOU ambayo Video yake kwa sasa ina Views almost 4M, ngoma iliyofuatiwa na mkwaju mwingine uitwao MY LOVE, Staa wa Muziki kutoka Arusha, BRUCE AFRICA a.k.a Boyfriend ameachia Hit nyingine kwa jina JOJINA Kwenye Jojina, Bruce anaelezea namna ambavyo amedata…
Usher – Boyfriend (Official Music Video)
Umem-miss Usher Raymond mnyama Kabisa? Sasa nikusanue kwamba Aemerejea kwenye Ubora wake kabisa, Kiwango cha level ya Lami. Humu ndani Usher amefanya unyama mwingi sana kwenye ngoma hii mpya aliyoipa jina la Boyfriend ambapo the Video tayari imetoka na ni Bonge moja la Chupa Staring akiwa ni KEKE PALMER. JIACHIE HAPA CHINI :-
Maisha ya Davido yako Hatarini, aaswa kuikimbia Nigeria !!!
Kutokana na Sakata linaloendelea Kumuhusu Staa wa Muziki Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido baada ya Video ya video ya Msanii wake kutafsiriwa kama Kuidhalilisha Dini ya Kiislam, Staa huyo ameaswa kuikimbia Nigeria yeye na Msanii wake kwani maisha yake yako Hatarini kutokana na Hasira za Waislam Nigeria. Balaa hilo limemuandama Davido baada ya kupost…