Travis Scott Kuidondosha “Utopia”
Albamu ya “Utopia” iliyosubiriwa kwa muda mrefu ya Travis Scott inaonekana kuwasili hivi karibuni huku tukio la uzinduzi wa albamu ya Utopia likitarajiwa kufanyika Cairo, Misri, kwenye Pyramids of Giza. Utopia itakuwa na kazi 5 binafsi za sanaa, vinyls, CD na maagizo ya mapema[set pre-orders]. Zaidi ya hayo, Travis pia ataperform albamu yake pia. View…