Moto wa Messi, Ageuka Lulu Marekani
Mwanasoka Nguli na kiboko kabisa kutoka Nchini Argentina, Lionel Messi amegeuka Lulu Nchini Marekani. Ukiachana na Kibunda ndefu aliyovuta kutoka kwenye Club yake Mpya Inter-Miami, Messi amegeuka Kivutio kikubwa sana kwenye soccer la Marekani ambapo Club hiyo imeongeza Idadi Kubwa sana ya Mashabiki Haswa Mastaa Wakubwa wa Marekani kiasi kwamba Tunashuhudia Mastaa wengi wakihudhuria mechi…