#NewVideo: Y.O.G – Mtaa

Baada ya kuanza vizuri kabisa na audio yake ya kwanza, huyu hapa tena Y.O.G na ngoma yake mpya, kijana kutoka Grandmaster Records huu ukiwa wimbo mahususi kabisa kuhusu mtaa anaotoka na maisha aliyopitia kufikia alipo ikiwa ni njia ya kutoa hamasa kwa vijana wenzanake kufanya maamuzi na machaguzi sahihi kwaajili ya maisha na kesho yao….

Read More

Travis Scott Kuidondosha “Utopia”

Albamu ya “Utopia” iliyosubiriwa kwa muda mrefu ya Travis Scott inaonekana kuwasili hivi karibuni huku tukio la uzinduzi wa albamu ya Utopia likitarajiwa kufanyika Cairo, Misri, kwenye Pyramids of Giza. Utopia itakuwa na kazi 5 binafsi za sanaa, vinyls, CD na maagizo ya mapema[set pre-orders]. Zaidi ya hayo, Travis pia ataperform  albamu yake pia. View…

Read More
UP