Usher – Boyfriend (Official Music Video)

Umem-miss Usher Raymond mnyama Kabisa?

Sasa nikusanue kwamba Aemerejea kwenye Ubora wake kabisa, Kiwango cha level ya Lami.

Humu ndani Usher amefanya unyama mwingi sana kwenye ngoma hii mpya aliyoipa jina la Boyfriend ambapo the Video tayari imetoka na ni Bonge moja la Chupa Staring akiwa ni KEKE PALMER.

JIACHIE HAPA CHINI :-

UP