#NewVideo: Young Lunya – Freestyle Sessions 5

RapStar kutoka Bongo, Young Lunya ameachia Next Level Rap Song ambayo inakuwa muendelezo wa Projects zake za Freestyle ikiwa hii ni Season 5.

Ukiacha Kujipakulia Minyama humu ndani, Kuna Wasanii wa Rap Wamechanwa humu Akiwemo Rapcha na Young Killer Msodoki

FUATILIA LINE TO LINE HAPA CHINI KISHA TUACHIE COMMENT

UP