
Maisha ya Davido yako Hatarini, aaswa kuikimbia Nigeria !!!
Kutokana na Sakata linaloendelea Kumuhusu Staa wa Muziki Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido baada ya Video ya video ya Msanii wake kutafsiriwa kama Kuidhalilisha Dini ya Kiislam, Staa huyo ameaswa kuikimbia Nigeria yeye na Msanii wake kwani maisha yake yako Hatarini kutokana na Hasira za Waislam Nigeria. Balaa hilo limemuandama Davido baada ya kupost…