Wed. Oct 21st, 2020

DjHazuu

For The Hottest

Nandy – Magufuli tena (Ninogeshe Remix)

1 min read

Staa wa Kipare kutoka kwenye Kiwanda cha #BongoFleva Faustina Charles Mfinanga maarufu kama Nandy, ameachia Remix ya Wimbo wake wa Ninogeshe ambapo ameugeuza kutoka Wimbo wa Mapenzi hadi kuwa wimbo wa Kumsifia Rais John Pombe Magufuli “Magufuli Tena”.

Nandy
Nandy

Nandy Sio Msanii wa kwanza mwaka huu, Harmonize pia alifanya hivyo kwa kuugeuza wimbo wake Kwangwaru na kuifanya Remix ya kusifu kazi anayofanya Magufuli.

Hii imekaa wazi kabisa kwamba ni Njia nyingine ya kujitengenezea nafasi nzuri kwa wasanii hao katika Majukwaa ya Kampeni za Uchaguzi mwaka ujao.

Tazama Video hiyo hapa Chini:-

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Copyright © All rights reserved. | Newsphere by AF themes.