Wed. Oct 21st, 2020

DjHazuu

For The Hottest

Drake na Kylie Jenner Wanasadikika Kuwa Mapenzini

1 min read

Canadian rapper, Drake na Mwanadada Kylie Jenner Wanatajwa kuwa Mapenzini

Sources za kutoka Plus 1 zinasema kwamba Wawili hao wameonekana mara kadhaa wakiwa pamoja na mara zingine wakionekana kuingia pamoja sehemu sirini a.k.a Machimboni.

Drake

Taarifa hizi zimeenda mbali zaidi na kufafanua kwamba hata kwenye birthday Party ya Drake mwanzoni mwa Mwezi uliopita, Walionekana wakiangaliana Kimahaba na kupena peana ishara zisizo salama ki Rafiki japo haikuwa imethibitika kama Wawili hao wanaweza kuwa wanavunja Amri takatifu ya 6.

Kylie Jenner

Hii imekuja exactly mwezi mmoja baada ya mwandada Kylie Jenner kupigana chini na ex-boyfriend and baby daddy, Travis Scott.

However, Bado wawili hao hawajaweza kuweka wazi ila tetesi Mtekenyo zimesanua hivyo.

Kama ni Kweli, Unaionaje hii Couple? Tupe Comment hapo chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Copyright © All rights reserved. | Newsphere by AF themes.